PATA HABARI KWA WAKATI

Saturday 2 November 2019

LIGI KUU YA VODACOM KUENDELEA LEO

Ligi Kuu ya Vodacom kuendelea kupigwa Wikiendi hii....Ambao Leo Jumamosi wakata miwa wa Turiani Mtibwa Sugar kukipiga Singida United katika dimba la Jamhuri, mechi hii kuwa Live Azam Sports 2, kuanzia Saa 10:00 Jioni. Kesho Jumapili Simba katoka kupoteza mchezo uliopita Mbeya City katoka kupata sare mchezo uliopita, Je Mbeya City wataweza msimamisha Mnyama pale dimba la Uhuru? #Azamsports2 Simba SC Tanzania Singida United Fc Mtibwa sugar SC

No comments:

Post a Comment