PATA HABARI KWA WAKATI

Tuesday 5 November 2019

ZAERA ATIMULIWA YANGA

Inaelezwa Yanga iko mbioni kumtangaza Benard Mwalala kuwa kocha Mkuu wa timu hiyo baada ya kuamua kuachana na Mwinyi Zahera
Mwalala ni kocha wa Bandari Fc ya nchini Kenya
Mshambuliaji huyo wa zamani wa Yanga, msimu huu aliisaidia Bandari Fc kutinga raundi ya pili ya michuano ya kombe la Shirikisho wakikosa nafasi ya kutinga makundi wakitolewa na Horoya Ac kwa kufungwa mabao 4-2
Bado uongozi wa Yanga haujathibitisha rasmi kuhusu uamuzi huo
Je Mwalala atakuwa chaguo sahihi kumrithi Zahera Yanga, au uamuzi huu huenda ukavuruga zaidi mambo?

1 comment:

  1. The Lucky Lucky One Casino in Reno, NV - Mapyro
    Find the 이천 출장마사지 closest casino to Reno, NV with free WiFi, a 24-hour casino, a seasonal 서귀포 출장마사지 outdoor swimming 여주 출장마사지 pool and 의왕 출장안마 a relaxing 충청남도 출장샵 spa.

    ReplyDelete