PATA HABARI KWA WAKATI

Monday 20 May 2019

SAMATA AKABIDHIWA TUZO

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta akiwa na tuzo yake ya Mwasoka Bora wa Afrika katika Ligi ya Ubelgiji baada ya kukabidhiwa jana kufuatia sare ya 0-0 na Standard Liege kwenye mchezo wa mwisho wa msimu Uwanja wa Luminus Arena
Mbwana Samatta akipongezwa jana Uwanja wa Luminus Arena baada ya kupewa tuzo zake
Mbwana Samatta akishangilia Kombe la ubingwa wa Ubelgiji baada ya kukabidhiwa jana Uwanja wa Luminus Arena
Mbwana Samatta akishangilia Kombe la ubingwa wa Ubelgiji baada ya kukabidhiwa jana Uwanja wa Luminus Arena 
Mbwana Samatta akishangilia na wachezaji wenzake wa KRC Genk baada ya kukabidhiwa Kombe la ubingwa wa Ubelgiji  
Mbwana Samatta akipiga picha na rafiki yake  Uwanja wa Luminus Arena... Continue reading ->

No comments:

Post a Comment