PATA HABARI KWA WAKATI

Sunday 8 December 2019

Habari njema kwa wanafunzi wote waliokosa nafasi kidato cha kwanza 2020

Nafasi za masomo kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza.

Mkuu wa shule ya sekondari ya mlima Mbeya iliopo  Jijini Mbeya  anawatangazia nafasi za masomo kwa wanafunzi wa Kidato cha  1,2,3, na kidato cha 5 


No comments:

Post a Comment