PATA HABARI KWA WAKATI

Monday 14 May 2018

Afrika kusini yamuondoa balozi wake Israel

Afrika Kusini imemuagiza balozi wake nchini Israel, Sisa Ngombane kuondoka nchini humo na kurejea Afrika Kusini, mpaka pale atakapopewa maelekezo mengine. Maamuzi hayo yamefikiwa baada ya shambulizi la Israel ambalo limesababisha vifo vya Wapalestina 55 katika eneo la Gaza.

No comments:

Post a Comment